Dr. James Ontieri

Dr. James Ontieri

Senior Lecturer, Department Of Languages, Linguistics and Literature

Contacts: +254 723 474 586     

jontieri@rongovarsity.ac.ke/ jontieri@gmail.com

  1. Biography
  2. Academic qualifications: PhD (Kiswahili), MA (Kiswahili) and B.ED (Arts)
  3. Work experience: TSC teacher (1993 – 2009); University lecturer (2009 to date)
  4. Honours and awards – none
  5. Membership to professional bodies: Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) and Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA)
  6. Research interests: Theoretical linguistics, Applied linguistics and Second language learning
  7. Ongoing research projects: none
  8. Publications

ARTICLES IN REFEREED JOURNALS

  • 2022: Kenneth Kinyua, James Ontieri na Nancy Ayodi: “Muundo wa Vivumishi vya Lugha za Mnyambuliko: Mfano wa Kivumishi cha Kiimenti.” Katika Jarida la CHAKAMA Vol. 1. No. 1 113 – 128 (online).
  • 2021: Stanley Adika Kevogo, Jackline Njeri Murimi na James Omari Ontieri: “Ufupishaji kama Mkakati wa Uundaji wa Istilahi za Kiswahili zinazotumika katika Kompyuta.” Katika Taaluma (Jarida la CHAKITA) Juzuu 1 Na. 1 83 – 92. ISSN 2789-9209.
  • 2020: Stanley Adika Kevogo, James Omari Ontieri na Jackline Njeri Murimi: “Mikakati, Changamoto na Mustakabali wa Utungaji wa Kamusi za Kiistilahi za Kiswahili.” Katika Jarida la Mnyampala Juzuu Na. 1 (Chuo Kikuu cha St. John’s cha Tanzania) uk. 90 – 104. ISSN 2683-6432
  • 2019d: Mark A. Odawo, James Omari Ontieri na Carren Nyandiba: “An Assessmentof Online Translation: A case of Business Discourse.” Katika The International Journal of Humanities & Social Studies Volume 7 Issue 11, November 2019, Uk. 310 – 319. ISSN 2321-9203
  • 2019c: Mark A. Odawo, Carren Nyandiba na James Omari Ontieri: “Athari za Ukiushi wa Kisarufi katika Tafsiri ya Matini katika Majukwaa ya Kidijiti.” Katika Mwanga wa Lugha Juzuu 4 Na. 1 (Moi University Press). ISSN 2412-6993
  • 2019b: “Kiswahili kama Kichocheo cha Maendeleo ya Kiuchumi katika Nchi za Afrika Mashariki.” Katika Mwanga wa Lugha (Toleo Maalum) uk. 39 – 48. ISSN 2412-6993
  •  
  • 2019a: “Athari za Kifonolojia za Lugha za Kinailotiki kwa Kiswahili: Mifano kutoka Kenya.” Katika Mwanga wa Lugha, Juzuu 3 Na. 1 (Moi University Press). ISSN 2412-6993
  •  
  • 2018: James Omari Ontieri, Elizabeth Sakaya na Fokas Mkilima: “Uchanganuzi wa Makosa ya Kitahajia katika Mawasiliano Andishi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Mifano kutoka Chuo Kikuu cha St. John’s cha Tanzania.” Katika Mwanga wa Lugha Juzuu 2 Na. 2 (Moi University Press). ISSN 2412-6993
  •  
  • 2017: Elijah Arasa Ayiera, James Omari Ontieri na Nancy Ayodi, “Mchango wa Mazingira ya Mwandishi katika Matumizi ya Mafumbo.” In International Journal of Arts and Education 1(1): 1-12 April 2017.
  • 2017: Fridah Oiko Gesare, James Ontieri Omari na Emmanuel Kisurulia Simiyu, “Kinaya katika Tamthilia ya Kiswahili: Mfano wa Tamthilia ya Mstahiki Meya.” In International Journal of Arts and Education 1(4): 33-44 June 2017.
  • 2017: Aruba Beatrice Kemunto, Mohochi Sangai Ernest na Ontieri James Ontieri, “Makosa ya Kisemantiki kaika Mawasiliano Andishi ya Kiswahili ya Wanafunzi wa Shule za Upili nchini Kenya.” In International Journal of Arts and Education 1(2): 13-24 June 2017.
  • 2015: James Omari Ontieri, “Phonological Influences of First Language on Kiswahili: A Case Study of Kenyan Bantu Languages.” In International Journal of Science and Research (IJSR) Vol 4 Issue 1, January 2015. ISSN (Online) 2319-7064
  • 2015: James Omari Ontieri, “Athari za Kifonolojia za Lugha ya Kwanza katika Kiswahili: Mfano wa Lugha Teule za Kibantu nchini Kenya.” Mulika na. 34. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. ISSN 0856 – 0129
  • 2014: James Ontieri Omari & Alexander Meitamei, “Taifa Leo Newspaper as a Tool for Teaching and Learning Swahili Language in Secondary Schools in Kenya.” In International Journal of Science and Research (IJSR) Vol 3 Issue 12, December 2014. ISSN (Online) 2319-7064
  • 2013: “Matumizi ya Taifa Leo katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule za Upili nchini Kenya: Nafasi na Changamoto. Jarida la Kiswahili Juzuu 76. ISBN 0856 – 048 X
  • 2012: “Nafasi ya Kiswahili kama Lugha Rasmi nchini Kenya: Majukumu na Changamoto.” In S. Omari na G. Mrikaria (eds.) Mulika na. 31. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. ISSN 0856 – 0129
  • 2011: “Tafsiri Sisisi na Athari zake katika Mawasiliano.” In P. S. Malangwa na L. H. Bakize (eds.) Kioo cha Lugha. Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. ISSN 0856-552 X

CHAPTERS IN BOOKS

  • 2020: “Mbinu za Kupunguza Utokeaji wa Makosa katika Insha za Wanafunzi wa Shule za Upili.” Katika Kiswahili na Maendeleo ya Afrika Mashariki. Dar es Salaam: TUKI. ISBN 978 9976 531 67 1
  • 2020: Khabelwa Ndui Jairus na James Omari Ontieri “Mkanganyo wa Uainishaji wa Vitenzi katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Upili Nchini Kenya.” Katika Kiswahili na Maendeleo ya Afrika Mashariki. Dar es Salaam: TUKI. ISBN 978 9976 531 67 1
  • 2019c: “Changamoto za Kufundisha Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya.” Katika Kiswahili katika Elimu ya Juu. Eldoret: Moi University Press. ISBN 978-9966-1879-5-6
  • 2019b: James Omari Ontieri, Lilian Kaishozi na Shadidu Abdalla Ndossa, “Makosa ya Kisarufi katika Maandishi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Mifano kutoka Chuo Kikuu cha St. John’s cha Tanzania.” Katika Lugha na Fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. ISBN 978-9966-133-55-7
  • 2019a: Stanley Adika Kevogo, James Omari Ontieri na Jackline N. Murimi, “Tathmini ya Mbinu za Uundaji Istilahi za Kiswahili zinazotumika katika Kompyuta.” Katika Lugha na Fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. ISBN 978-9966-133-55-7
  • 2018b: Stanley Kevogo, Mwenda Mukuthuria na James Ontieri, “Mikakati Inayotumiwa na Vyombo vya Habari nchini Kenya Kukabiliana na Changamoto za Kiistilahi.” Katika Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika (Kwa heshima ya Prof. M. M. Mulokozi). TUKI: Dar es Salaam. ISBN 978 9976 5316 1 9
  • 2018a: “Mchango wa Kiswahili katika baadhi ya Lugha za Kiafrika nchini Kenya.” Katika Lugha na Masuala Ibuka. TUKI: Dar es Salaam. ISBN 978 9976 5058 56
  • 2017: “ Nafasi ya Kiswahili katika Elimu nchini Kenya” Katika Lugha na Fasihi katika Karne ya Ishirini na Moja.” Eldoret: Moi University Press. ISBN 978-9966-1879-6-3 (Uk.411 – 418)
  • 2016: “Matumizi ya Lugha katika Gazeti la Taifa Leo: Mtazamo wa Kidaikronia.” Katika Kiswahili na Utandawazi. Nairobi: Twaweza Communications. ISBN 978 9966 028 624
  • 2015: “Uchanganuzi wa Makosa katika Insha: Umuhimu wake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili.” Katika Kiswahili na Maendeleo ya Jamii. TUKI: Dar es Salaam. ISBN 979 9987 531 417.
  • 2015: “Mtagusano kati ya Lugha: Vipengele na Visababishi.” Katika Kiswahili na Maendeleo ya Jamii. TUKI: Dar es Salaam. ISBN 979 9987 531 417.

 

 

BOOKS

  • Mwongozo wa Visiki – Zapf Chancery Publishers (Eldoret, Kenya) ISBN 9966-9925-8-8
  • Mwongozo wa Siku Njema– (With Obuchi S.)- Zapf Chancery Publishers (Eldoret, Kenya) ISBN 9966-9635-1-0